Gospo Music - Nyimbo za Injili Kusifu na Kuabudu. Cover
Gospo Music - Nyimbo za Injili Kusifu na Kuabudu. Icon

Gospo Music - Nyimbo za Injili Kusifu na Kuabudu.

Version: 1.2.0
Package: com.afrotechstudios.gospel

Size: 8.22 MB

Rating: 0/5

Last Updated: 2020-02-04 06:01:55

Gospel Music ni app ya nyimbo za injili kwa ajili ya kuimba, kusifu na kuabudu.

Changes 1.2.0 :

APK Description:

Pata nyimbo za injili kutoka kwa waimbaji wa Tanzania na nje ya Tanzania.
App hii itakupa nafasi ya kusikiliza nyimbo nyingi zikiwemo za kuabudu na kusifu. Zipo nyimbo za waimbaji maarufu kama vile Goodluck Gozbert, Christopher Mwahangila, Joel Lwaga, Bahati Bukuku, Rose Muhando, Martha Mwaipaja, Masanja Mkandamizaji.

Pia zipo Video za nyimbo za Injili kutoka Youtube pamoja na mahubiri kutoka kwa wanenaji wa kitanzania. Utawasikiliza watumishi wa Mungu kama Rev. Daniel Mgogo, Mwl Mwakasege, Bishop Josephat Gwajima na wengineo wengi.

Pakua sasa app yetu ya mziki wa Injili uburudishe moyo na nafsi. Ubarikiwe sana!!

.
.
Gospo Media, Safina, Utukufu Music, Ufufuo na Uzima.

Download APK Google Play
Download com.afrotechstudios.gospel.apk: